1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SafariUganda

Utakaso wa Waturkana baada ya matatizo kwenye jamii

10 Mei 2024

Katika kila jamii kuna namna ya kufanya tambiko baada ya kutoka kwenye majanga kadhaa, katika jamii ya Waturkana inatumia maji na kinyesi cha mbuzi katika kuwatakasa wale ambao wametoka kwenye matatizo. Hebu tazama video.

https://p.dw.com/p/4fhm4